Kitabu hii kinaelezea sifa ya swala ya mtume (s.a.w). na jinsi ya kutawadha, kitabu hiki nizawadi kwa waislam wote wanaotaka kumuiga mtume (s.a.w) katika swala na udhu.
Kitabu hiki kinazungumzia: Umuhimu wa tawhidi ya kweli na kwamba Mitume wote wa Allah walitumwa kuja kuwafundisha watu tawhidi ya kweli nayo ni kumuabudu Allah peke yake na kujiepusha na shirki.
Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?
Kitabu kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kinazungumzia: Hukumu za twahara ikiwemo namna ya kutawadha, na kuoga, na kutayamam, na kupangusa kwenye khofu, na namna ya kujitwaharisha mginjwa, na namna ya kuswali mgonjwa.
Kitabu hiki kina zungumzia Mwangaza kuhusu ibada ya kukaa itikafu, maana yake adabu zake na masharti ya itikafu na faida zake, pia kimelezea sehemu na wakati wa itikafu, na itikafu ya mfanya kazi na makosa ya wanaofanya itikafu.