Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Periodic Occasions

Idadi ya Vipengele: 41

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia thamani ya swala ya Alfajiri katika Jamaa katika mwezi wa ramadhani,na namna ambavyo zinavyo zidishwa thawabu za swala ya alfajiri.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Uharamu wa kusikiliza Samai za Masufi, na wala haifai kujifunza kupiga zomari.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Ibn Taymiyah hajesema kuwa Maulidi inafaa kama wanavyodai Wazushi ( Watu wa Bidaa ).

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Ukweli aliouzungumza Sheikhul Islam Ibn Taymiyah kuhusu Maulidi, na uzushi anaozushiwa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Tofauti kati ya Bidaa na Sunna, pia imefafanua maana Sunnat Hasanah.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa kwasababu Mtume s.a.w hakufanya, kwahiyo kuacha kufanya Maulidi ni Sunna na kufanya ni Bidaa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Namna watu wa Maulidi walivyo waelewa vibaya wana chuoni na kuwasingizia uongo.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Uzushi wa kusherehekea Maulidi umenzishwa mwanzoni mwa karne ya sita.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Maulidi ni Bidaa dhwalaalah (Uzushi na upotovu), pia imeelezea namna wazushi wasivyo na hoja na wanafuata matamamnio ya nafsi zao.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Nini maana ya Bidaa ( Uzushi ) kilugha na kisheria, pia imeelezea hatari ya Uzushi.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Kwa mujibu wa Uislamu pamoja na mahji ya Ahlu Sunna wal Jamaa, Kusherehekea Maulidi hayakuwepo na ni Uzushi.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia ubora wa masiku kumi ya dhil hija kisha ameeleza kuwa Elimu ndio kibainisho cha halali na haramu na ndio sababu ya kumuabudu Allah kwa usahihi, na mtu asie kuwa na elimu ya dini anakuwa kama mfu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia bidaa ya kusherehekea maulidi, madahii inazungumzia asili ya maulidi, maana yake, hukumu ya maulidi, historia ya maulidi, na mwanzo wa maulidi, africa mashariki.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia:miongoni mwa matendo mema katika masiku kumi ya mfungo tatu, na amebainisha ubora wa kutowa salam, Kuunga udugu na kuwafanyia wema wazazi, na kuchunga haki za mume na mke.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: umuhimu wa kufunga siku ya arafa, na mambo anayo takiwa afanye katika masiku kumi ya mfungo tatu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Fursa ya kuyafikiwa na masiku bora duniani, kisha ametaja miezi mitukufu, na akaeleza ubora wa masiku hayo, na ubora wa siku ya Arafa.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa Uchamungu, na maana ya khutbatu Alhaja, kisha akabainisha swala ya khusufu na Malengo ya khusufu.

  • Kiswahili

    MP3

    Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, ubora wake, nakwamba Allah anashuka na kuwasogelea kwa waliosimama katika viwanja vya Arafa, na Allah anajifakhari kwa malaika, na yanayo takiwa kufanywa nawale ambao hawako katika viwanja vya Arafa.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, maana yake na umuhimu wa kuomba dua katika siku hiyo, na amejibu kuhusu utata juu ya siku ya arafa na siku ya Iddi al Adhha nawale wasiofunga siku ya arafa bali wanafunga siku ya kuchinja. 2- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa Arafa na hijja, amebainisha kuwa hija ilikuwepo tangu wakati wa nabii Ibrahim haikuwa faradhi, amefafanua mafungaamano ya Arafa na mwezi Dhulhijah, na Arafa ya mtu wa China na Est Africa, na mafungamano ya swala ya iddi na kupiga mawe na kuchinja kwa mahojaji . 3- Mada hii inazungumzia Majibu ya utata wa Arafa na hijja, amebainisha kuwa watu wanafuata mahujaji katika takbira, na kuchinja ili wafuate watu wa mina, na ametaja Qauli za wanachuoni kuhusu mafungamano ya hija na matendo ya wasiokuwa mahujaji.

  • Kiswahili

    MP3

    1- Makala hii inazunguzia:Maana ya Iddi na neema ya Idd ya kiislam na historia yake, faida za Iddi na umuhimu wa kumfuata mtume katika katika kufunga na nakufungua na kusherehekea Iddi. 2- Makala hii inazunguzia:Chanzo cha siku za Iddi, nakwamba Iddi ilikuja kufuta siku kuu za kijinga, ameleza kuwa siku za Iddi zimewekwa kwalengo la kumtukuza Allah. 3- Makala hii inazunguzia:Adabu za kusherehekeya sikukuu za Iddi, ikiwemo kumtii Allah, na kusimamisha swala na kuwatembelea wagonjwa, nakuwafanyia wema majirani . 4- Makala hii inazunguzia: Mambo yanayo takiwa kuachwa katika siku za Iddi, ikiwemo kujiepusha na madhambi, na kujiepusha na miziki, na wanawake kutembea uchi nk.

Ukurasa : 3 - Kutoka : 1