Utunzi wa kielimu

معلومات المواد باللغة العربية

Qur-ani tukufu

Ukurasa huu wajulikana kuwa ni ukurasa mkubwa maalum kwa sababu ya Quran na elimu zinazo ambatana na Quran kwa lugha za kimataifa, zaidi ya lugha (90) za kimataifa, kwa namna mbali mbali, kama: kutafsiri maana ya quran, elimu za quran, tajwid, visomo vya quran, miuzijza ya quran na sunna.

Idadi ya Vipengele: 1

  • Kiswahili

    LINK

    Tovuti hii ni kwa ajili ya watu wa dini mbalimbali wanaotaka kuufahamu Uislamu na Waislamu. Ina makala nyingi fupi, lakini zenye taarifa kuhusu vipengele mbalimbali vya Uislamu. Makala mpya huongezwa kila wiki. Pia, inaangazia Usaidizi wa Moja kwa Moja kupitiamaongezi.

Ukurasa : 1 - Kutoka : 1