Idadi ya Vipengele: 952
26 / 4 / 1436 , 16/2/2015
Mada hii inazunguzia namna ya kujikinga na shetani wakati wa kulala na faida ya kusoma aya za mwisho katika suratu Albaqra.
Mada hii inazunguzia adabu za kulala na umuhimu wa nia katika ibada na namna ya kujikinga na shetani
20 / 4 / 1436 , 10/2/2015
Mada hii inazunguzia uwezekano wa kijana kuowa akiwa masomoni.
Mada hii inazunguzia Janga la kumuasi Allha jwasababu ya mapenzi na tiba ya maasi hayo.
Mada hii inazunguzia Baadhi ya tabiya mbaya ya kulaumu na madhara yake.
Mada hii inazunguzia Mipaka ya kuheshimiyana baina ya waislam.
Mada hii ni fatwa inayo zunguzia hukumu ya kula mali ya ndugu yako,na hukumu ya kuswalia jeneza baada ya Asri ,na hukumu ya kuweka pesa katika benki za kiislam.
Mada hii inazunguzia Furaha ya ndoa na jinsi ya kuidumisha katika maisha ya ndoa na tiba ya magomvi katika ndoa.
Mada hii inazunguzia Aina za talaka zilizo enea katika jamii za waislam na tiba yake.
3 / 4 / 1436 , 24/1/2015
Mada hii inazunguzia Fatwa kuhusu mrathi ya Mtoto wa kike,na hykumu ya kuvunja mifupa ya Akika ya mtoto.
Mada hii inazunguzia Sifa za kuchaguwa mke mwema.
23 / 2 / 1436 , 16/12/2014
Mada hii inazunguzia ubora wa kutoa Sadaka, na namna Mtume s.a.w alivyoizungumzia Sadaka.